Changes

no edit summary
- Inabidi kueleza bayana dhamiri ya matumizi mengi ya maji nayo mipango ya matumizi ielezwe bayana na mapema.

===Inaonekanaje huduma ya matumizi mengi ya maji?===
Mara tu unapowafahamu watu wa jumuiya fulani, mahitaji yao, mapendeleo yao, pamoja na vyanzo vyao, unaweza kuunda huduma ya matumizi mengo inayofungamanika. Ikiwa na sehemu zihimilizazo ubora wa afya na kazi. Je, utaamuaje mchanganyiko namna gani wa teknolojia pamoja na programu za uhimili?

'''1. Maji:''' Huduma ya matumizi mengi ya maji haina mwenendo wa kurudiarudia teknolojia fulani katika kuhudumia jumuiya fulani. Uchaguzi wa teknolojia faafu unaweza kuwa muhimu sana katika uundaji wa huduma unaotekeleza mahitaji na kudumu kwa kuwezesha jumuiya kutumia teknolojia ile inayofaa kwa matumizi fulani. Vilevile ni muhimu kuchagua programu faafu ya uhimili (mamlaka, usimamizi, namafunzo) ambayo itawezesha huduma kudumu kwa muda mrefu.

[[File: MUS water chart.png|thumb|none|500px|Bonyeza ili ku”zoom”. Jedwali: [https://www.winrock.org/topic/water Winrock International]]]

Sehemu nyeti ya programu za kuhimili ni usimamizi. Shirikiana nao watumizi wa maji katika kuunda mfumo wa usimamizi unaothamani maliasili pamoja na vizuizi vyao. Uchaguzi zengine katika uundaji wa mfumo wa usimamizi ni pamoja na usimamizi wa jumuiya (ukiongozwa na kamati au ujumbe) au kundi la wenyeji, familia au mtu peke yake.

'''2. Afya:''' Kwa kuwapatia wanaohudumiwa maji yafaayo kunywewa unaweza kupiga hatua muhimu katika kuboresha afya yao. Kwa uwezo wa rasilimali ya mradi, kuunda ziada ya mashuguli yenye kuboresha afya mifano ni pamoja na (elimusiha, udhibiti afya, na lishe) kunaongeza kabisa athari kwa afya zitokanazo na huduma mpya ya maji. Maarifa yatokanayo na mlolongo wa ukadiri pamoja na matokeo ya Kuunda kwa Huduma za Maji yanaweza kubainisha Mashuguli yepi ya Afya yatakayofaa mradi.

[[File: MUS health chart.png|thumb|none|500px|Bonyeza ili ku”zoom”. Jedwali: [https://www.winrock.org/topic/water Winrock International]]]

'''3. Kazi:''' Pasi na matatizo kuwapatia wahudumiwa huduma ya matumizi mengi ya maji, hali ilivyo ya kazi itaboreka. Kwa uwezo wa rasilimali ya mradi, kuunda ziada ya Mashuguli yenye Kustawishi Kazi mifano nipamoja na (ukulima, ufugaji, biashara) kunaweza kupanua athari ya mradi wako kwa kuongeza mapato na kuwezesha fursa za kujiendeleza kama elimu.

[[File: MUS livelihoods chart.png|thumb|none|500px|Bonyeza ili ku”zoom”. Jedwali: [https://www.winrock.org/topic/water Winrock International]]]

===Ujuzi utokanao kwenyemaeneo ya vijijini===
Nchini Nepali, mifumo ya matumizi mengi ya maji ililetwa kwa mara ya kwanza na Nepal Smallholder Market Initiative (SIMI), International Development Enterprise (IDE), na Winrock. Mifumo ni matangi ya kusanya yaliyopo kwenye chemchemi au mito midogo inayogeuzwa kwendea bwawani Iliyoko karibu na kijiji ikisukumwa na mvutano wa ardhi kupitia bomba.

Mifumo hii inahudumia idadi ya familia yapata 10-40 ambayo hutumia maji kwa matumizi nyumbani pamoja na yale ya kilimo cha bustani. Uletaji wa mifumo ya umwagiliaji wa tone baada ya tone ulithibitisha matumizi madhubuti ya maji pamoja na ustawishi bora wa mimea. Asilimia sitini ya watumiaji wa mifumo ya umwagiliaji wa tone baada ya tone hutumia maji yanayopatikana pa karibu nyumbani.

====Mradi wa RSR====

{|style="border: 2px solid #e0e0e0; width: 20%; text-align: justify; background-color: #e9f5fd;" cellpadding="2"

|- style="vertical-align: top"
|[[Image:akvorsr logo_lite.png|center|60px|link=http://akvo.org/products/rsr/]]

|- style="vertical-align: bottom"
|[[Image:project 555.png |thumb|center|140px|[http://rsr.akvo.org//project/555/ Mradi wa 555]
WASH Media Forum|link=http://rsr.akvo.org//project/555/ ]]

===Vitabu vya Mwongozo, video na viungo===
* [http://www.nwp.nl/_docs/Smart-solutions-3R.spread.pdf 3R Smart Solutions]
* PDF: [https://www.spring-nutrition.org/sites/default/files/publications/reports/spring_report_multiple-use_water_services.pdf Multiple-Use Water Services: Toward a Nutrition-Sensitive Approach]. IFAD.
* [http://www.musgroup.net/ Multiple Use Water Services Group].

{|style="font-size: 125%"

|{{#ev:youtube|DjvWdUfYih4|200|auto|IDE Nepal, Multiple Use
Water System (MUS) Program}}
|{{#ev:youtube|06JoZlo77gk|200|auto|Small scale irrigation
with a rope pump}}
|{{#ev:youtube|sHppepLP-pk|200|auto|Rainsong
video}}

* IWMI report - [http://www.iwmi.cgiar.org/publications/iwmi-research-reports/iwmi-research-report-98/ Multiple-Use water services to advance the millennium development goals].
* Moriarty, P., Butterworth, J., Koppen, B. van. 2004. [http://www.ircwash.org/resources/beyond-domestic-case-studies-poverty-and-productive-uses-water-household-level Beyond domestic : case studies on poverty and productive uses of water at the household level], IRC Technical Papers Series 41.
* Schouten, T.; Moriarty, P. 2003. [http://www.ircwash.org/resources/community-water-community-management-system-service-rural-areas Community water, community management – From system to service in rural areas]. The Hague, The Netherlands: IRC International Water and Sanitation Centre and ITDG
* Nepal (SIMI) Smallholder Market Initiative. 2004. Process and impact study of the multiple-use (hybrid) gravity water supply schemes in Palpa and Syangja Districts of West Nepal. Kathmandu: Eco-Tech consult (P) Ltd. S. [http://pdf.usaid.gov/pdf_docs/PDACP099.pdf Nepal Smallholder Irrigation Market Initiative (SIMI)].
* [http://www.iwmi.cgiar.org/Publications/Water_Policy_Briefs/PDF/wpb18.pdf Taking a multiple-use approach to meeting the water needs of poor communities brings multiple benefits]. IWMI (2006)

===Shukran===
* Models For Implementing Multiple-Use Water Supply Systems For Enhanced Land And Water Productivity, Rural Livelihoods And Gender Equity – Multiple Use Systems (MUS). [http://ongoing-research.cgiar.org/factsheets/models-for-implementing-multiple-use-water-supply-systems-for-enhanced-land-and-water-productivity-rural-livelihoods-and-gender-equity-multiple-use-systems-mus/ Ongoing research - CIGAR.]
* [http://www.jsi.com/JSIInternet/Inc/Common/_download_pub.cfm?id=15089&lid=3 A Guide to Multiple-Use Water Services]. Winrock International.
Akvopedia-spade, akvouser, bureaucrat, emailconfirmed, staff, susana-working-group-1, susana-working-group-10, susana-working-group-11, susana-working-group-12, susana-working-group-2, susana-working-group-3, susana-working-group-4, susana-working-group-5, susana-working-group-6, susana-working-group-7, susana-working-group-8, susana-working-group-9, susana-working-group-susana-member, administrator, widget editor
30,949
edits